GOOD HOPE SECONDARY SCHOOL, INAPENDA KUWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO KWA KIDATO CHA KWANZA KWA MWAKA 2021-2022. Pia ina nafasi kwa kidato cha pili, cha tatu na cha nne. NI SHULE NZURI NA YENYE MAZINGIRA BORA KABISA KWA MWANAFUNZI KUJISOMEA. INAWALIMU BORA NA WENYE UZOEFU KATIKA UFUNDISHAJI. IKO KAHAMA (MONDO). ADA YAO NI NAFUU NA INALIPWA KWA AWAMU NNE. KWANINI USUMBUKE KARIBU GOOD HOPE SECONDARY SCHOOL KWA ELIMU BORA KWA MWANAO. MAWASILIANO. Mkurugenzi 0689 881790 au 0769 979801 Mkuu wa shule 0763 733174
0 Comments