Goodhope Secondary School Pre-Form One 2021


PRE-FORM ONE ada ni shs. 200,000 kwa bweni na shs. 70,000 kwa kutwa bila chakula na shs. 120,000 pamoja na kula. Kidato cha (1-4) ada ni shs. 1,600,000 kwa mwaka kwa wanafunzi wa Bweni. Na shs. 1,200,000 kwa mwaka kwa wanafunzi wa Kutwa pamoja na shs. 140,000 ya usafiri.
Seen by Chande Fx at 7:24 PM